DeutschEnglischSwahili

Jambo

Asante kwa kututembelea. Karibu kwenye Website yetu ya Home Care
International. Hapa utapata taarifa mbalimbali kuhusu huduma ambazo hutolewa
na HCI kuwasaidia watoto wanaoshida. Tunategemea utafanikiwa kupata misaada
ya kuwasaidia watoto hawa.


“The only thing to eradicate poverty is sharing.”
– Mother Teresa –